Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2016
Picha
Akizungumza jijini Dar es salaam Afisa habari wa Azam FC Jaffary Iddy Maganga amesema, mjadala wa kuondoka kwa Farid ulikuwa ni mrefu lakini wanashukuru kila kitu kimefanikiwa na wanaamini atacheza kwa mafanikio ili kufungua milango kwa wachezaji wengine wa Tanzania kuweza kufika mbali zaidi katika soka. Kwa upande wake Farid amesema, amejiandaa vizuri kwa ajili ya kwenda kucheza na siyo kwa ajili ya majaribio kama ilivyokuwa hapo awali na amejiandaa kukabiliana na changmoto atakazokutana nazo lakini kubwa zaidi amejipanga kupambana kwa ajili yake pamoja na taifa kwa ujumla
Picha
Wenger: Ozil atawashangaza wakosoaji wake Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa kiungo wa kati wa Arsenal Mesut Ozil atawashangaza wakosoaji wake katika mechi inayofuata. Ozil alikosolewa vibaya baada ya Arsenal kushindwa 2-1 na Manchester City . Lakini Wenger amesema kuwa Ozil kama wachezaji wengine shupavu katika timu yake amekuwa akichukua jukumu kubwa na hivyobasi hapaswi kulaumiwa sana. Anasema kwamba tatizo la Arsenal kupoteza mechi hiyo ilikuwa kushindwa kudhibiti mchezo katikatika ya uwanja. Wenger: Wachezaji kama Ozil wanapokosolewa wao hujibu kwa kucheza vizuri katika uwanja katika mechi inayofuata.
Picha
JE. USIKIA ALICHOKISEMA PEP GUARDIOLA Mkufunzi wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola anasema kuwa itakuwa vigumu kwa kikosi chake kushindana na viongozi wa ligi ya Uingereza Chelsea. City ilipanda hadi nafasi ya pili katika jedwali baada ya kuicharaza Hull City 3-0 katika siku kuu ya Boxing Dei na kuweza kuwa nyuma ya Chelsea kwa pointi 7. Kikosi hicho cha Antonio Conte awali kiliweka rekodi ya kushinda mara 12 katika ligi ya Uingereza baada ya kuichapa Bournemouth 3-0. ''Tumecheza mechi saba zaidi ya Chelsea ,ndio maana ni vigumu '',alisema Guradiola. ''Liverpool ilikaribia taji hilo mwaka mmoja uliopita kwa sababu walikuwa na mechi moja kwa wiki ,na ni hivyo ndivyo ilivyokuwa na Leicester.Mara hii Chelsea na Liverpool wana fursa''. Liverpool na Chelsea zilishindwa kufuzu katika mashindano ya Ulaya baada ya kumaliza wa nane na 10 mtawalia katika ligi ya Uingereza mwaka uliopita. shebyperfect.blogspot.com
Picha
je. wajua? shebyperfect.blogspot.com   Wanasayansi wanasema kuwa mjamzito hubadilisha ubongo wa mwanamke, kwa kipindi cha hadi miaka miwili. Wanasema uja uzito hupunguza seli za ubongo katika baadhi ya sehemu za ubongo wa mwanamke, ili kumuwezesha kuhusiana vyema zaidi na mtoto na kujiandaa kwa majukumu yake kama mama. Uchunguzi ulifanyiwa wanawake 25 waliokuwa wameshika mimba kwa mara ya kwanza ulionyesha mabadiliko hayo kwenye ubongo hudumu kwa hadi miaka miwili baada ya mwanamke kujifungua. Watafti hao wanasema vipimo vya sehemu tofauti za ubongo hubadilika kipindi hicho, sawa na inavyofanyika mtu anapovunja ungo. Lakini hata hivyo, hawakupata ushahidi wowote wa kuathirika kwa uwezo wa mwanamke kuweka kumbukumbu.
Picha
Kevin Mirallas na Romelu Lukaku waliiweka Everton kifua mbele na kuipatia ushindi wake wa kwanza ugenini tangu mwezi Septemba huku mabingwa watetezi wa ligi wakishuka karibu na eneo la kushushwa daraja. Winga wa Ubelgiji Mirallas alichukua fursa ya kuiweka mbele Everton baada ya safu ya ulinzi ya Leicester kufanya masikhara . Daniel Amartey ,Leonardo Ulloa na Damarai Gray walilishambulia lango la Everton na kumpatia kazi ya ziada kipa Roble lakini Everton ikaongeza bao la pili kupitia Romelu Lukaku. Pasi ndefu kutoka kwa Ross Barkley ilimpata Lukaku ,ambaye alionyesha umahiri wake kabla ya kupiga mkwaju uliomuacha kipa Kasper Schmeichel bila jibu.
Picha
TAZAMA WASAFI BEACH PARTY ILIVYOTINGISHA DAR ES SALAAM HAIJAWAHI TOKEA.
Picha
→download nyimbo mpya BORA WEWE →inayoletwa kwenu na kijana wetu KUSAH
Picha
kama ulipitwa na nyimbo hii bas  bado hujachelewa hebu muone chris brown alivyodondosha mistari ya nyimbo yake ya christmass
Picha
tazama picha ambazo wasafi wailkinukisha jukwaan siku ya tarehe 24.12.2016
Picha
je wajua kuwa kuishi na mbwa kuna madhara gani?
Picha
welcome to my blog
Picha
diamond akutana na king kiba na kusema haya
Picha
welcome to my new bloggs